Kiswahili

Nakala asilia kwa Kiingereza na Tactical Tech, tafsiri na marekebisho na washirika:

Jifunze jinsi ya kufanya utafiti katika mafunzo haya ya kielektroniki!

Kanuni ya Kutosababisha Madhara

Kanuni ya Usisababishe Madhara inamaanisha kwamba unaweka kipaumbele katika usalama na ustawi wako na wa wengine. Unasaidia kadri uwezevyo bila kusababisha madhara kwako na kwa wengine.
Rukia ndani
Kuna nini cha kujifunza?